Video ya ‘mbabe wa unga’ Mexico alivyonaswa na Polisi miezi 6 baada ya kutoboa Gereza - LEKULE

Breaking

9 Jan 2016

Video ya ‘mbabe wa unga’ Mexico alivyonaswa na Polisi miezi 6 baada ya kutoboa Gereza

Jamaa aliteka sana vichwa vya habari kubwa duniani, jina lake halisi ni Joaquin Guzmana.k.a ‘El Chapo‘ ni jamaa ambaye ana kesi za kujihusisha na dawa za kulevya, kajikuta mikononi mwa Polisi miezi sita baada ya kutoroka gerezani alikokuwa amefungwa.
El Chapo ambaye anatajwa kuwa na mtandao mkubwa wa kusafirisha dawa za kulevya na kuziingiza Marekani, amekamatwa akiwa nyumbani kwake Los Mochis, mji waSinaloa uliopo Mexico.
EL CHAPO II
Kwa Rais wa Mexico hii ni good news kwake… kapost katika ukurasa wake Twitter akisema >’Kazi imekamilika.. Amepatikana !!‘< Rais Enrique Pena Nieto.
EL CHAPO III
Hii hapa video yenye ripoti ya kukamatwa kwake mtu wangu.


No comments: