UKAWA washinda kiti ca Umeya Kinondoni, Dar es Salaam - LEKULE BLOG

Breaking

Header Ads

Saturday, 16 January 2016

UKAWA washinda kiti ca Umeya Kinondoni, Dar es Salaam

Vyama vinavyounda UKAWA vimeibuka na ushindi katika uchaguzi wa Umeya wa Manispaa ya Kinondoni baada ya kupata kura 38 dhidi ya CCM waliopata kura 20.


Meya mpya ni Boniface Jacob. Manispaa ya Ilala zoezi bado linaendelea 
Post a Comment