Rais Magufuli Akutana Na Abdallah Bulembo ,Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na Mufti Mkuu wa Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam - LEKULE BLOG

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Monday, 4 January 2016

Rais Magufuli Akutana Na Abdallah Bulembo ,Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na Mufti Mkuu wa Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam

Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha kisha kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi ya CCM Alhaji Abdallah Bulembo Ikulu jijini Dar es salaam January 4,2016


Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha kisha kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi ya CCM Alhaji Abdallah Bulembo Ikulu jijini Dar es salaam January 4,2016
Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha na kufanya mazungumzo na Prof. Mussa Juma Assad Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Ikulu jijini Dar es salaam January 4, 2016
Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana baada ya kufanya mazungumzo na Prof. Mussa Juma Assad Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Ikulu jijini Dar es salaam January 4, 2016
Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha kasha kufanya mazungumzo na Sheikh Abubakar Zuber Ally Mufti Mkuu wa Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam January 4, 2016

Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana baada ya kufanya mazungumzo na Sheikh Abubakar Zuber Ally Mufti Mkuu wa Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam January 4, 2016- Picha Zote Na IKULU
Post a Comment
My photo

Hi, I`m Sostenes, Electrical Technician and PLC`S Programmer.
Everyday I`m exploring the world of Electrical to find better solution for Automation. I believe everyday can become a Electrician with the right learning materials.
My goal with BLOG is to help you learn Electrical.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages