Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli amtembelea Rais Mstaafu Benjamin Mkapa nyumbani kwake Dar es salaam - LEKULE

Breaking

31 Jan 2016

Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli amtembelea Rais Mstaafu Benjamin Mkapa nyumbani kwake Dar es salaam


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mheshimiwa Benjamin William Mkapa. Rais Dkt. Magufuli alikwenda kumsalimia Rais mstaafu Mkapa nyumbani kwake Masaki jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana  na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mheshimiwa Benjamin William Mkapa. Rais Dkt. Magufuli alikwenda kumsalimia Rais mstaafu Mkapa nyumbani kwake Masaki jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Picha na IKULU.

No comments: