Nape Nnauye Alifungia Milele Gazeti la Mawio - LEKULE BLOG

Breaking

Header Ads

Saturday, 16 January 2016

Nape Nnauye Alifungia Milele Gazeti la Mawio


Kwa mujibu wa taarifa iliyochapishwa katika Gazeti la Serikali, Waziri mwenye dhamana na vyombo vya habari, Nape Nnauye amelifungia milele gazeti la MAWIO kwa sababu ya kukiuka maadili na taratibu za uandishi.Post a Comment