Naibu Waziri -Tamisemi Seleman Jaffo Amsimamisha Kazi Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilemela Jijini Mwanza - LEKULE BLOG

Breaking

Header Ads

Monday, 4 January 2016

Naibu Waziri -Tamisemi Seleman Jaffo Amsimamisha Kazi Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilemela Jijini Mwanza


Naibu Waziri Tamisemi Suleiman Jaffo amemsimamisha kazi kwa muda Mkurugenzi wa manispaa ya Ilemela jijini Mwanza John Wanga ili kupisha uchunguzi wa uhalali wa fedha zilizotumika kujenga fensi ya Halmashauri ya Wilaya.


Nafasi yake atakaimu Injinia Jacob Nathaniel hadi uchunguzi utakapo kamilika.
Post a Comment