Mwanamke Akutwa Kwenye Paa la Jengo la Wizara ya Fedha - LEKULE

Breaking

19 Jan 2016

Mwanamke Akutwa Kwenye Paa la Jengo la Wizara ya Fedha



1 (1)Mwanamke huyo kiwa juu ya paa.
2 (1) Watu wakitaharuki.
3 (1)…Polisi akiwa pembeni ya uzio wa majengo ya wizara ya fedha na mipango mara baada ya mwanamke huyo kuwa juu ya paa la nyumba hizo.
Dar es Salaam
Manamke ambaye jina lake halikupatikana mara moja akiwa amekaa juu ya paa la majengo ya Wizara ya Fedha na Mipango jijini Dar es Salaam leo.
Mwanamke huyo akizungumza na watu waliokusanyika lakini alikuwa hasikiki vizuri maneno aliyokua akiongea kutokana na wananchi waliokusanyika kumuuliza maswali mengi kwa wakati mmoja.
Baada ya muda wafanyakazi wa wizara hiyo walimwekea ngazi na kumshusha ili kumhoji zaidi nini kimemfanya apande juu ya paa la majengo hayo

No comments: