Mazishi ya marehemu Bi. Asha Bakari Makame yaliyofanyika leo asubuhi katika makaburi ya Kianga Wilaya ya Magharibi Unguja - LEKULE BLOG

Breaking

Header Ads

Saturday, 23 January 2016

Mazishi ya marehemu Bi. Asha Bakari Makame yaliyofanyika leo asubuhi katika makaburi ya Kianga Wilaya ya Magharibi Unguja

Viongozi mbali mbali wakishiriki mazishi ya marehemu Bi. Asha Bakari Makame yaliyofanyika leo asubuhi katika makaburi ya Kianga Wilaya ya Magharibi Unguja. Miongoni mwa viongozi hao ni pamoja na Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein, Makamu wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamad, Makamu wa Pili Balozi Seif Ali Iddi, Makamu wa Rais Mstaafu Dkt. Mohd Gharib Bilal na Spika wa BLW Mhe. Pandu Ameir Kificho. 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiitikia dua baada ya kumsomea hitma Marehemu Asha Bakari Makame iliofanyika katika Masjid Noor-Muhammad kwa Mchina Unguja 
WANANCHI wakishiriki katika dua ya kumuombea marehemu Asha Bakari Makame katika Masjid Noor-Muhammad kwa mchina(
VIONGOZI wakishiriki katika kuuombea mwili wa Marehemu Asha Bakari Makame katika Masjid Noor-Muhammad kwa Mchina

NAIBU MUfti wa Zanzibar akisoma Dua baada ya kumaliza Sala ya kumsalia marehemu Asha Bakari Makame iliofanyika katika Masjid Noor-Muhammad Kwamchina Zanziba
VIONGOZI wakishiriki katika kuuombea mwili wa Marehemu Asha Bakari Makame katika Masjid Noor-Muhammad kwa Mchina
VIONGOZI wakishiriki katika kuuombea mwili wa Marehemu Asha Bakari Makame katika Masjid Noor-Muhammad kwa Mchina
VIONGOZI wakishiriki katika kuuombea mwili wa Marehemu Asha Bakari Makame katika Masjid Noor-Muhammad kwa Mchina
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimfariji Mama wa Marehe Bi Mwanajuma Faki alipofika kutowa mkono wa pole kwa wafiwa nyumbani kwao Jangombe Unguja.
​​ ​​
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwafariji watoto wa marehemu Asha Bakari Makame alipofika kutoa mkono wa Pole kwa wafiwa nyumbani kwao Jangombe Zanzibar leo
 RAIS wac Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Ndugu wa Marehemu Asha Bakari Makame alipofika nyumbani kwao jangombe kutowa mkono wa Pole
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiweka udongo kaburini
Makamu wa Rais Mstaafu Dkt Mohamed Gharib Bilal akiweka udongo kaburini
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe Maalim Seif Shariff Hamad akiweka udongo kaburini
Post a Comment