Matokeo ya michezo ya FA Cup iliyochezwa Jumamosi, Januari 9 - LEKULE BLOG

Breaking

Header Ads

Sunday, 10 January 2016

Matokeo ya michezo ya FA Cup iliyochezwa Jumamosi, Januari 9

football-ground2Michezo ya kugombea kombe la FA Cup linaloandaliwa na Chama cha Soka cha Uingereza (FA) iliendelea jana Jumamosi kwa michezo 26 na mchezo mmoja kati ya Newport Country na Blackburn Rovers ambao ulisimamishwa baada ya kunyesha mvua kubwa katika kiwanja kilichopangwa kutumika kwa mchezo huo.

Matokeo ya michezo mingine iliyochezwa ni kama ifuatavyo;

Wycombe Wanderers 1 – 1 Aston Villa

Arsenal 3 – 1 Sunderland

Birmingham City 1 – 2 Bournemouth

Brentford  0 – 1 Walsall

Bury 0 – 0 Bradford City

Colchester United 2 – 1 Charlton Athletic

Doncaster Rovers 1 – 2 Stoke City

Eastleigh 1 -1 Bolton Wanderers

Everton 2 – 0 Dagenham & Redbridge

Huddersfield Town 2 – 2 Reading

Hull City 1 – 0 Brighton and Hove Albion

Ipswich Town 2 – 2 Portsmouth

Leeds United 2 – 0 Rotherham United

Middlesbrough 1 – 2 Burnley

Northampton Town 2 – 2 Milton Keynes Dons

Norwich City 0 – 3 Manchester City

Nottingham Forest 1 – 0 Queens Park Rangers

Peterborough United 2 – 0 Preston North End

Sheffield Wednesday 2 – 1 Fulham

Southampton 1 – 2 Crystal Palace

Hartlepool United 1 – 2 Derby County

Watford 1 – 0 Newcastle United

West Bromwich Albion 2 – 2 Bristol City

West Ham United 1 – 0 Wolverhampton Wanderers

Manchester United 1 – 0 Sheffield United
Post a Comment