MATEMBEZI YA UMOJA VIJANA CCM KUADHIMISHA MIAKA 52 YA MAPINDUZI - LEKULE

Breaking

12 Jan 2016

MATEMBEZI YA UMOJA VIJANA CCM KUADHIMISHA MIAKA 52 YA MAPINDUZI

 Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana UVCCM TaifaSadifa Juma Khamis akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein kuzungumza na Vijana walioshiriki matembezi ya kuadhimisha Miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyomalizia leo katika Viwanja vya Maisara Suleiman Mjini Unguja
 Vijana wa Chama cha Mapinduzi CCM wakipita  mbele ya mgeni rasmi  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akipokea matembezi ya Vijana hao waliotembea katika Mikoa Minee ya Kichama katika kuadhimisha miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyomalizia leo katika viwanja vya maisara Suleiman Mjini Unguja
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake kwa Vijana wa Umoja wa Vijana UVCCM walioshiriki matembezi ya kuadhimisha Miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyomalizia leo katika Viwanja vya Maisara Suleiman Mjini Unguja(kulia) Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan,na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana UVCCM TaifaSadifa Juma Khamis(kushoto) Spika wa Baraza la Wawakilishi PPandu Ameir Kificho na Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akipokea Matembezi ya Umoja wa Vijana wa CCM katika kuadhimisha miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar leo katika viwanja vya maisara Suleiman Mjini Unguja
 Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan akiwasalimia Vijana wa Umoja wa Vijana UVCCM walioshiriki matembezi ya kuadhimisha Miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyomalizia leo katika Viwanja vya Maisara Suleiman Mjini Unguja na kupolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein
 Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka akimkaribisha Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Taifa kuzungumza na Vijana walioshiriki matembezi ya kuadhimisha Miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyomalizia leo katika Viwanja vya Maisara Suleiman Mjini Unguja,baadae kumakaribisha mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein
 Vijana wa Umoja wa Chama cha Mapinduzi CCM walioshiriki matembezi ya kuadhimisha miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofikia kilele katika Uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Unguja le wa kila kiapo cha kuyaenzi Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar  mbele ya mgeni rasmi  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,baada ya kuyapokea matembezi hayo yaliotembea katika Mikoa Minee ya Kichama
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akikimkabidhi  Picha ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Sadifa Juma khamis baada ya  kupokea picha hiyo kutoka kwa Kiongozi wa Matembezita Umoja wa Vijana wa CCM Daudi Ismail katika kuadhimisha miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar leo katika viwanja vya maisara Suleiman Mjini Unguja

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akipokea Picha ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume kutoka kwa Kiongozi wa Matembezita Umoja wa Vijana wa CCM Daudi Ismail katika kuadhimisha miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar leo katika viwanja vya maisara Suleiman Mjini Unguja (kushoto) Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Sadifa Juma khamis

No comments: