Lowassa Apata Mapokezi Makabuwa Dakawa Wakati Akiwa Njiani Kuelekea Dodoma - LEKULE

Breaking

24 Jan 2016

Lowassa Apata Mapokezi Makabuwa Dakawa Wakati Akiwa Njiani Kuelekea Dodoma


Aliyekuwa mgombea Urais  katika uchaguzi wa Oktoba mwaka jana kwa tiketi  ya  UKAWA, Edward Lowassa jana alipata mapokezi makubwa kwa wakazi wa mnada wa Dakawa baada ya kusimama  na  kuwasalimia.

Lowassa alikuwa safarini  kuelekea Mkoani Dodoma kwa ajili ya mafunzo  ya  wabunge wa UKAWA.
 

No comments: