KWANINI JF KENNEDY ANAKUMBUKWA...? - LEKULE

Breaking

23 Jan 2016

KWANINI JF KENNEDY ANAKUMBUKWA...?

Ndugu zangu,
Duniani kuna wanasiasa walioamsha hamasa za wengi kupenda siasa. Kwangu mimi, JK Nyerere na JF Kennedy ni miongoni mwa wanasiasa hao.
Miaka 53 imepita tangu JF Kennedy auawe.
Novemba 2 , 1960 ndio siku ambayo John F Kennedy alichaguliwa kuwa Rais wa Marekani.
Alikuwa Rais wa 35 akiwa na miaka 43 tu, hivyo, Rais wa pili kijana kuliko wote katika Marekani.
Ni rais wa kwanza wa Marekani kuzaliwa katika miaka ya 1900. Na Rais wa kwanza Mkatoliki kuliongoza taifa la Marekani. Ni baada ya siku elfu moja na thelathini na sita Ikulu ndipo alipouawa, Novemba 22, 1963. Na siku 5 baadae, nduguye, Bobby Kennedy, naye aliuawa.
JF Kennedy na JK Nyerere walikuwa marafiki.
Hakika, JF Kennedy ni simulizi ya kisiasa ya kusisimua...

No comments: