China kusaidia ukuaji wa sekta za Habari, Filamu na Sanaa nchini - LEKULE BLOG

Breaking

Header Ads

Thursday, 21 January 2016

China kusaidia ukuaji wa sekta za Habari, Filamu na Sanaa nchini

Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bibi. Zamaradi Kawawa (kulia) akimkaribisha ukumbini Naibu Waziri wa Habari, Utangazaji na Utamaduni wa Serikali ya Jamhuri ya watu wa China Mhe. Tian Jin leo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkalimani kutoka Ubalozi wa China hapa nchini Bi. Karen Sunlam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa. Elisante Ole Gabriel akizungumza wakati wa mkutano baina yake na Naibu Waziri wa Habari, Utangazaji na Utamaduni wa Serikali ya Jamhuri ya watu wa China Mhe. Tian Jin (kushoto) leo jijini Dar es Salaam. Waziri huyo yupo nchini kwa ziara ya kikazi.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa. Elisante Ole Gabriel (kulia) akimsikiliza kwa makini Naibu Waziri wa Habari, Utangazaji na Utamaduni wa Serikali ya Jamhuri ya watu wa China Mhe. Tian Jin leo jijini Dar es Salaam. Waziri huyo yupo nchini kwa ziara ya kikazi.
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bibi. Zamaradi Kawawa (kulia) akifafanua jambo wakati wa Waziri wa Habari, Utangazaji na Utamaduni wa Serikali ya Jamhuri ya watu wa China Mhe. Tian Jin alipokutana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel (katikati) leo jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa. Elisante Ole Gabriel akikabidhiwa barua ya mwaliko wa kutembelea nchini China mwezi June mwaka huu, wakati wa mkutano baina yake na Naibu Waziri wa Habari, Utangazaji na Utamaduni wa Serikali ya Jamhuri ya watu wa China Mhe. Tian Jin (kushoto) leo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya maafisa kutoka Ubolozi wa China hapa nchini wakifuatilia mkutano biana yao Katibu Mkuu wa wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel na Naibu Waziri wa ,Habari,Utangazaji na Utamaduni. Tian Jin.
Baadhi ya viongozi kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaaa wakifuatilia mkutano baina ya Katibu Mkuu wa wizara hiyo na Naibu Waziri wa ,Habari,Utangazaji na Utamaduni Mheshimiwa Tian Jin.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa. Elisante Ole Gabriel (kulia) akipokea zawadi kutoka kwa Naibu Waziri wa Habari, Utangazaji na Utamaduni wa Serikali ya Jamhuri ya watu wa China Mhe. Tian Jin alipomtembelea ofisini kwake leo jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa. Elisante Ole Gabriel (kulia) akiagana na Naibu Waziri wa Habari, Utangazaji na Utamaduni wa Serikali ya Jamhuri ya watu wa China Mhe. Tian Jin alipomtembelea ofisini kwake leo jijini Dar es Salaam.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa. Elisante Ole Gabriel (wa tano kutoka kulia) na Naibu Waziri wa Habari, Utangazaji na Utamaduni wa Serikali ya Jamhuri ya watu wa China Mhe. Tian Jin (katikati) wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wajumbe wakilisha Serikali za Tanzania na China wakati wa mkutano baina yao leo jijini Dar es Salaam.
Post a Comment