Breaking News: Hali si Shwari Dar es Salaam....Wananchi Waliovunjiwa Nyumba Zao Wafunga Barabara Kwa Mawe na Kuchoma Moto Matairi - LEKULE

Breaking

18 Jan 2016

Breaking News: Hali si Shwari Dar es Salaam....Wananchi Waliovunjiwa Nyumba Zao Wafunga Barabara Kwa Mawe na Kuchoma Moto Matairi

Hali si shwari  katika eneo la Bonde la Mkwajuni Kinondoni jijini Dar es salaam, Wananchi waliobomolewa nyumba zao wamefunga barabara na kuchoma moto mataili pande zote za barabara 

Jeshi la Polisi lipo eneo la tukio  kukabiliana na tukio hilo.


No comments: