Basi la Luwinzo Lagongana na Lori Asubuhi Hii.......Wawili wafariki Dunia Huku wengine Wakijeruhiwa


Basi la abiria la kampuni ya Luwinzo linalofanya safari za Dar es salaam - Njombe limegongana na lori asubuhi hii likitokea Njombe kuelekea Dar. 
Abiria wawili wameripotiwa kufariki dunia huku majeruhi wakiwa ni wengi. Ajali imetokea maeneo ya Kinegembasi Kata ya Mbalamaziwa wilayani Mufindi.


Post a Comment
My photo

Hi, I`m Sostenes, Electrical Technician and PLC`S Programmer.
Everyday I`m exploring the world of Electrical to find better solution for Automation. I believe everyday can become a Electrician with the right learning materials.
My goal with BLOG is to help you learn Electrical.
Powered by Blogger.