Askari Polisi Atiwa Mbaroni Jijini Mwanza Kwa Tuhuma za Mauaji - LEKULE

Breaking

4 Jan 2016

Askari Polisi Atiwa Mbaroni Jijini Mwanza Kwa Tuhuma za Mauaji


Jeshi la polisi mkoani mwanza limemshikilia askari no.F.4965 PC JOEL FRANCIS Kwa tuhuma za  kumpiga na kumsababishia kifo kijana Donard Magalata aliyekuwa akiishinaye nyumbani kwake


Askali huyo alimpiga kijana donald mara baada ya kubaini kuwa pochi yake iliyokuwa na kadi mbili za benk na kitambulisho cha kazi havipo.

No comments: