Dakika nne za kushuhudia mwanzo mwisho shangwe za Angola alivyotua Nicki Minaj..(+Video) - LEKULE BLOG

Breaking

Header Ads

Thursday, 24 December 2015

Dakika nne za kushuhudia mwanzo mwisho shangwe za Angola alivyotua Nicki Minaj..(+Video)Rapper wa kike mrembo kabisa Nicki Minaj anakuwa mmoja ya mastaa wa Marekani na mastaa wakubwa Duniani waliogonga vichwa vya habari kwa kufanya show za nguvu kwenye nchi za Africa.
Mzigo mzima wa Nicki Minaj ulikuwa ni Angola weekend iliyopita na hapa nina kipande cha video kuanzia Nicki anatua Airport, show yake kwenye stage, na mpaka anapanda ndege kurudi kwao… enjoy mtu wangu !!Post a Comment