Rais Magufuli Atoa Zawadi Za Sikukuu Ya Krismasi Kwa Watoto Wa Kijiji Cha Matumaini Mkoani Dodoma - LEKULE BLOG

Breaking

Header Ads

Thursday, 24 December 2015

Rais Magufuli Atoa Zawadi Za Sikukuu Ya Krismasi Kwa Watoto Wa Kijiji Cha Matumaini Mkoani Dodoma


Afisa Ustawi wa Jamii kutoka Sekretarieti ya Mkoa wa Dodoma Bi. Ziada Nkinda (Aliyebeba Mtoto) akikabidhi zawadi za siku kuu ya Noeli (Christmas) zilizotolewa na Mhe. Rais John Pombe Magufuli kwa watoto wanaoishi kwenye kituo cha kuhudumia watoto cha kijiji cha matumaini Mkoani Dodoma.
Meneja wa kituo cha kuhudumia watoto cha kijiji cha matumaini kilichopo Dodoma  Padiri Vicent, kwa niaba ya watoto wa kituo hiko, akimshukuru Bi. ziada Nkinda kwa kukabidhi zawadi zilizotolewa na Mhe. Rais John Pombe Magufuli zikijumuisha mchele kilo 121, Mbuzi wawili na mafuta ya kupikia lita 40 vyote vikiwa na thamani ya zaidi ya laki sita.
 

(PICHA NA OFISI YA MKUU WA MKOA DODOMA)
Post a Comment