Maamuzi ya Mbunge Professor Jay kwenye siku yake ya kuzaliwa Dec 29 - LEKULE BLOG

Breaking

Header Ads

Tuesday, 29 December 2015

Maamuzi ya Mbunge Professor Jay kwenye siku yake ya kuzaliwa Dec 29

Ikiwa Dec 29 ni siku ya kuzaliwa kwa msanii na mbunge wa Mikumi,Mh Joseph Haule aka Professor Jay ameamua kuchukua maamuzi ya kufanya usafi kwenye ofisi aliyokabidhiwa leo huko jimboni Mikumi Morogoro.
Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram mbunge huyo aliandika..’Asante sana Mungu leo nimetimiza miaka 40 tangu nimezaliwa …. I dedicate this birthday kwa watu wangu wote wa MIKUMI na leo ndio tumeifungua rasmi ofisi ya MBUNGE wa MIKUMI baada ya kukabidhiwa Funguo na kuifanyia Usafi kwa pamoja tayari kwa kusikiliza changamoto za wana mikumi, Ushauri na maoni ya jinsi gani tunashirikiana pamoja na wana Mikumi kuweza kuleta mabadiliko na maendeleo ya MIKUMI YETU… EEE MWENYEZI MUNGU TUSAIDIE’ @professorjaytz
Post a Comment