Shindano la Serengeti Master Lahitimishwa Kanda Ya Ziwa - LEKULE

Breaking

8 Oct 2015

Shindano la Serengeti Master Lahitimishwa Kanda Ya Ziwa



Mshindi wa jumla wa shindano la Serengeti Masta Said Kanolo (katikati) akifurahi na wadau wa bia ya Serengeti Premium Lager, wakati wa shindano la mwisho la Serengeti Masta kwa wateja wa kanda ya ziwa lililofanyika katika baa ya Shooters iliyopo barabara ya Airport jijini Mwanza.

Mshindi wa jumla washindano la Serengeti Masta kwa wakazi wa kanda ya ziwa Said Kanolo (kushoto) akipokea fedha taslim Tsh. 100,000/= kutoka kwa Afisa mauzo wa Kampuni ya bia ya Serengeti Joan Semguruma, (kulia) wakati wa shindano la mwisho kwa kanda ya ziwa la bia hiyo lililofanyika katika baa ya Shooters iliyopo Barabara ya Airport jijini Mwanza. 
 

Mshindi wa mwisho wa shindano la Serengeti Masta kwa wakazi wa kanda ya ziwa Said Kanolo, akionyesha pesa zake alizokabidhiwa, kwenye shindano la mwisho la kumtafuta Serengeti Masta wa mwisho wa kanda hiyo ambalo lililofanyika katika baa ya Shooters iliyopo barabara ya Airport jijini Mwanza.
 
 Shindano hilo limemalizika rasmi kwa wakazi wa kanda ya ziwa likiwa limetembelea baa mbalimbali katika kanda hiyo na kuwafikia wateja wengi zaidi walioweza kuitambua ladha ya bia ya Serengeti Premium Lager na kutuzwa zawadi mbalimbali pamoja na fedha taslim.
Wadau wa bia ya Serengeti Premium lager wakigonga cheers, ndani ya baa ya Shooters iliyopo barabara ya Airport jijini Mwanza wakati wa shindano la mwisho la kumtafuta Serengeti Masta wa jumla kwa mikoa ya kanda ya ziwa katika baa hiyo.

No comments: