Desmond Tutu arudishwa Hospital - LEKULE

Breaking

29 Jul 2015

Desmond Tutu arudishwa Hospital

Hali bado ni tete kwa aliyewahi kuwa mshindi wa tuzo ya Nobel Askofu Demond Tutu baada ya kurejeshwa tena hospitalini kwa ajili ya kuendelea na matibabu.
Askofu huyo lutoka nchini Afrika Kusini aliruhusiwa kurejea nyumbani baada ya afya yake kuonekana kuimarika wiki iliyopita, lakini ghafla hali ya ugonjwa ilimrudia tena hivyo na kurejeshwa hospitalini.

Kwa muda mrefu Askofu Tutu mwenye umri wa miaka 83 amekuwa akisumbuliwa na maradhi ya saratani, na sasa yupo kwenye uangalizi mkubwa wa madaktari wanaoendelea kumtibu.



No comments: